Monday, November 26

KUTANA NA MDAU

Tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka 2012 Mama na Mwana tumeanzisha Segment ya KUTANA NA MDAU katika Picha kwa Mwaka 2012.
Wazazi tunaomba mtutumie Picha za Wadau zikiwaonyesha katika matukio mbalimbali ya  mwaka 2012 ili tushee zawadi yao ya maisha katika mwaka huu unaomalizikia.

Ni zoezi ambalo litatusaidia kushare experience katika maisha ya ulezi tukiwa kama wazazi.
Una moment nzuri za mdau? Tafadhali tutumie tushee na wadau wengine. 
Tuma kwenda mamanamwana@gmail.com

No comments: