tag:blogger.com,1999:blog-72450902869983543482024-03-15T16:42:20.373+03:00Mama na MwanaMama na Mwana ni blog maalum ambapo wazazi tunakutana kujadili mambo mbalimbali kuhusu malezi; kama masuala ya afya, elimu, fedha nk. Karibu tu-share kitu kizuri kuliko vyote duniani, kuwa mzazi. Tuma picha za matukio mbalimbali ya wadau, maoni, maswali au chochote unachotaka tu-share na wengine kupitia; mamanamwana@gmail.com. Karibu Mama, Baba na Mwana.Jianghttp://www.blogger.com/profile/09430266404066393581noreply@blogger.comBlogger1152125tag:blogger.com,1999:blog-7245090286998354348.post-53722197336082405332014-01-30T21:36:00.003+03:002014-01-30T21:36:41.480+03:00Tumehama
TUMEHAMIA HAPA
Jianghttp://www.blogger.com/profile/09430266404066393581noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7245090286998354348.post-43727053908787492912013-08-13T08:34:00.000+03:002013-08-13T08:34:00.769+03:00Karibu Suzan
Mdau mpya ameingia mjini,anaitwa Suzan hapa akiwa na siku nne duniani.nampenda sana baby suzan namtakia maisha marefu.
Mama Suzan.
***
Mama na Mwana inakukaribisha duniani na kwenye playground yetu hii hapa Suzan.
Jianghttp://www.blogger.com/profile/09430266404066393581noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7245090286998354348.post-81911912955800474332013-06-13T10:00:00.000+03:002013-06-13T10:00:00.019+03:00Birthday party ya Hoka ilinoga haswa!
Birthday girl...beautiful Hoka...
Hoka birthday tarehe 24/5/2013 alisharehekea akiwa na marafiki zake na majirani zake.
..tamtam...
"Namshukuru mungu sana kwa mwanangu kufikisha miaka hiyo mungu azidi kumkuza vema."
Asante mama yake Hoka.
Jianghttp://www.blogger.com/profile/09430266404066393581noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7245090286998354348.post-53289122898428146842013-06-05T15:04:00.001+03:002013-06-05T15:04:21.839+03:00Mdau mpya in town
Hi watoto wenzangu naitwa warda. Na mpenda mamy saana akurudi kazini nacheka nae huyo akiondoka kwenda kazini na mmiss sana mamy yangu. Penda mimi sana i love you all toto.
Jianghttp://www.blogger.com/profile/09430266404066393581noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7245090286998354348.post-3642816606907880432013-05-21T07:55:00.000+03:002013-05-21T07:55:00.178+03:00Hi toka kwa Carine
Habari zenu watoto wenzangu naitwa Carine leo niko hivi, muda mrefu sijapita kuwasalimu. tatizo mama ananibania kunipiga picha jamani.
Nawapenda sana rafiki zangu, wasalimie baba na mama zetu huko majumbani.
By Carine
Jianghttp://www.blogger.com/profile/09430266404066393581noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7245090286998354348.post-3091497468191646582013-05-13T19:12:00.000+03:002013-05-13T19:12:09.270+03:00Mother's Day card by X -- My first ever!!!
Kadi yangu ya kwanza, ever!!!, ya kunitakia Happy Mother's Day...from my son, Xchyler...so proud of him...and thanks to the teachers for making this happen!
Kaila is a big-boi now...huu mwandiko wake mwenyewe!!
Jianghttp://www.blogger.com/profile/09430266404066393581noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7245090286998354348.post-80957136315710767002013-05-13T17:26:00.001+03:002013-05-13T17:26:41.435+03:00Happy Mother's Day--from Ohio
It's Mother's Day! Aika na Mama yake Cecy Njau wakipozi kwa picha katika kusherekea siku hiyo muhimu duniani huko Columbus, Ohio nchini Marekani...
Jianghttp://www.blogger.com/profile/09430266404066393581noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7245090286998354348.post-25597370620952322222013-05-06T19:51:00.001+03:002013-05-06T19:51:19.299+03:00Mlipuko wa Arusha--sasa na malaika huyo amewakosea nini wahusika?
Pamoja na kuwa wahanga wa mlipuko wa Arusha pamoja na watanzania wenzangu hatuelewi sababu wala nia au hata ujumbe aliotaka kuufkisha huyo aliyelip[ua...
Pamoja na kuelewa kwamba alirusha bomu kanisani, that is sehemu ya ibada, katikati ya ibada, akielewa fika kwamba kutakuwa na watu wa rangi, jinsi na umri mbalimbali...
Pamoja na sikitishwa na utokeaji wa tukio hili, na mengineyo Jianghttp://www.blogger.com/profile/09430266404066393581noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7245090286998354348.post-71943532171989073992013-03-26T09:14:00.000+03:002013-03-26T09:14:03.565+03:00STARS ARE BORN
Baada ya kumnunia akasema isiwe tabu hata mi naweza kununa kwani kitu gani.
Unknownnoreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7245090286998354348.post-5631801689024769862013-03-16T10:07:00.000+03:002013-03-16T10:07:00.694+03:00Mapacha wa Zanzibar wamewakilisha!!
Mapacha hawa wanaoitwa Arafa na Aisha, wakazi wa Bububu, wamewakilisha wadau wengine kwenye photoshoot ya kuonyesha watoto toka sehemu mbalimbali duniani wakiwa na vitu wanavyovidhamini zaidi--toys.
Wengine toka Africa ni:
Tangawizi – Keekorok, Kenya.
Chiwa – Mchinji, Malawi.
Botlhe – Maun, Botswana.
Norden – Massa, Morocco.
Kuona picha zote BOFYA HAPA!
Jianghttp://www.blogger.com/profile/09430266404066393581noreply@blogger.com1tag:blogger.com,1999:blog-7245090286998354348.post-77720217951311867612013-03-14T18:52:00.002+03:002013-03-14T18:52:45.295+03:00Happy birthday Aika!
Aika Gene Green akipozi tayari kwa kukata keki "Dora keki" ya kusherekea kutimiza miaka miwili tarehe 2/21/2013. Aika anaishi Columbus, Ohio nchini Marekani na Mama yake ambaye ni mtanzania Cecy Njau na Baba yake Lucius Green mmarekani.
tamm-taaaam!
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunakupa hongera sana Haika.
Jianghttp://www.blogger.com/profile/09430266404066393581noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7245090286998354348.post-75095023686687778382013-02-26T12:50:00.002+03:002013-02-26T12:50:45.041+03:00Malaika huyu ameokotwa asubuhi hii!
Wakati wengine wanatafuta, mtoto huyu ameokotwa akiwa ametelwkezwa kichakani Kimara mitaa ya njia ya GIDE asubuhi hii... wasamaria waliskia kanalia kichakani kwa kung'atwa na manyenyere na wadudu ndio wakakiokoa...
Amepelekwa hospitali ya Mwananyamala, anaendelea vizuri...
Ushauri wa bure tu kwa akina dada: Kuna vituo vingi vya kulea watoto, makanisa na misikiti! Kama unaona huwezi Jianghttp://www.blogger.com/profile/09430266404066393581noreply@blogger.com2tag:blogger.com,1999:blog-7245090286998354348.post-8583426490637354412013-02-22T08:30:00.000+03:002013-02-22T09:55:03.003+03:00Msaada--Mtoto ana mwaka na miezi minne, ila bado haongei
Nina mtoto wa kiume anaelekea mwaka 1 na miezi 4 sasa. tatizo ni kwamba hadi sasa hajaweza kutamka hata baba wala mama. mara moja moja utamsikia akitamka "kaka" au "dada"lakini baada ya muda husahau na inachukua muda mrefu tena anaanza kuyatamka tena. Mara moja moja hutamka km neno baba lakini kwa kuingiza mdomo wa chini ndani km anaung'ata hivi. Nilishawahi kumpeleka hospital wakaniambia bado Jianghttp://www.blogger.com/profile/09430266404066393581noreply@blogger.com8tag:blogger.com,1999:blog-7245090286998354348.post-87235178228751696312013-02-19T16:25:00.001+03:002013-02-19T16:25:42.300+03:00Form IV 2012 Results: Zaidi ya nusu wana zero, tunaenda wapi?
Hii sio news mpya, maana sasa ni mwaka wa tatu matokeo ya sekondari hayaridhishi kabisa!!!
Kama ulikua hujui, mwaka huu ndio kali zaidi maana zaidi ya nusu ya wanafunzi wote aliofanya mtihani mwaka 2012, yaani 65% wamefeli kwa kupata zero!!!
Nimekaa hapa nayaangalia haya matokeo wala siamini ninachokiona...inasikitisha kwa kweli!!!
Sasa tatizo kama hili wote tunajua haliwezi kuwa la Jianghttp://www.blogger.com/profile/09430266404066393581noreply@blogger.com1tag:blogger.com,1999:blog-7245090286998354348.post-40860111223652549232013-02-11T12:23:00.000+03:002013-02-11T12:50:25.161+03:00Huduma mbovu, mwenzetu amepoteza mtoto!
Hii story imetumwa kama comment...ila kutokana na uzito wake naiweka kama post muisome kama ilivyo:
Jamani wadau naombeni kuuliza hivi ni kweli mtoto ukimpa maziwa ya kopo huruhusiwi kumnyonyesha maziwa yako tena?(naomba majibu tofauti na ya madaktari yanayosema maziwa ya mama tu kwa miezi 6 ya kwanza) kwa sababu naamini wapo wadau waliokuza watoto wao tofauti na maziwa yao. Nalazimika Jianghttp://www.blogger.com/profile/09430266404066393581noreply@blogger.com16tag:blogger.com,1999:blog-7245090286998354348.post-1730552458558306382013-02-01T08:30:00.000+03:002013-02-07T11:40:10.726+03:00Tujuzane tafadhali
Ni muda gani mzuri kwa watoto wa kike kuanza kusuka?
Mi napenda kumsuka Patra ingawa naona kama namuonea
vile kwani hajui chochote kuhusu urembo wa nywele
wala chochote ingawa pia huwa anapendeza.
Tuambiane ukweli na tujadili wazazi. Upi ni muda muafaka?
Unknownnoreply@blogger.com7tag:blogger.com,1999:blog-7245090286998354348.post-86274457177453706222013-01-31T08:40:00.004+03:002013-01-31T08:40:51.365+03:00Mdau Mpya kijiweni - Tonny
Haya tena mgeni akija shurti kupokelewa kwa nderemo na vifijo.
Tunamtambulisha kwenu mdau mpya hapa kwani ni mara yake ya kwanza kutokelezea..
Isn't he handsome?
Cute Tony katika smile zito akiwa tayari kuelekea shule.
Kukiwa na jua shurti Sun goggles zihusike. Hapa aliona asipitwe akatupia za mama.
Pose for the snap. Anaonekana anapenda sana picha.
Unknownnoreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7245090286998354348.post-48991521510074477662013-01-24T09:40:00.000+03:002013-01-24T16:43:23.553+03:00Getting back in shape--Inahu???
Yes, wazungu wanajali sana about hii kitu... how fast can you get back in shape baada ya kujifungua!
Mimi ni tofauti sana nao, as natamani ningebakiza nusu ya kilo nilizoziongeza wakati wa mimba, too bad, I lose it all in two weeks, bila diet (mi nakula chips labda mara 5 kwa wiki) wala mazoezi (mi mvivu sana tu wa mazoezi bana).
--Kitambi cha kishkaji kipo, though ningependa kuongeza angalauJianghttp://www.blogger.com/profile/09430266404066393581noreply@blogger.com3tag:blogger.com,1999:blog-7245090286998354348.post-21586888611920529292013-01-18T07:55:00.000+03:002013-01-18T07:55:00.969+03:00Zulu ana-make news
Kiukweli nilikua sijaiona hii...hizi ni enzi zile Xyleen akiwa anaigiza, alikua anaitwa Zulu.
Zulu is not his real name and he is actually a she – Xyleen Mapundo. Xyleen is not Ngwallo’s baby; she belongs to a colleague named Jiang Alipo. This is not a studio, it’s the home of Robert Lawlor, a veteran TV producer and Cuso International media volunteer in Tanzania.
Jianghttp://www.blogger.com/profile/09430266404066393581noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7245090286998354348.post-8735944652660238602013-01-17T15:44:00.000+03:002013-01-17T15:44:02.741+03:00BABA WA MFANO
Yes huyu ni baba wa mfano.
Sio wababa wote ambao huwabeba watoto wao wanapokuwa matembezini.
Wengine hudhani kwamba hiyo ni kazi ya mama pekee.
Hebu cheki mdau alivyo relax.
Hadi raha
Unknownnoreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7245090286998354348.post-30321527543023699482013-01-11T08:30:00.000+03:002013-01-11T09:23:22.323+03:00Mjue zaidi Carine aka Sweetie
Unaweza kumuita Carine hili ni jina la ubatizo na la nyumbani anaitwa Sweetie
Mimi ni mama yake mzazi Carine, ni mtoto wangu wa kwanza katika uzao wangu na kwa sasa Carine ana miaka mitatu (3).
Carine alizaliwa katika mkoa wa Tanga hospitali ya Bombo, alipotimiza miaka miwili bibi yake mzaa mama alimchukuwa na kwenda kuishi naye mkoani Kilimanjaro. Miezi miwili iliyopita nilimchukuwa Jianghttp://www.blogger.com/profile/09430266404066393581noreply@blogger.com3tag:blogger.com,1999:blog-7245090286998354348.post-65323472233321625702013-01-09T08:30:00.000+03:002013-01-09T08:30:00.193+03:00B and B are growing Big
Ni wale rafiki zetu Beatrice na Bazirio.
Beatrice is cute and charming while a brother is handsome and cool.
Unknownnoreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7245090286998354348.post-42363280177231007612013-01-08T09:00:00.000+03:002013-01-10T18:18:28.442+03:00Cleopatra introducing to you Ommy
Ni kaka yake wa hiari,
Anampenda sana, hata akiwa analia akimwona Ommy hunyamaza na kuanza kumchekea.
Na hapa walikuwa wanajiandaa kwenda Beach siku ya Boxing Day.
Ommy karibu rasmi kwenye uwanja wenu wa kujidai wa MamanaMwana.
Unknownnoreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-7245090286998354348.post-14182073944283958692013-01-07T10:33:00.000+03:002013-01-07T11:15:07.705+03:00My motherhood favourate things!
Happy New Year, jamani msharudi au bado mko holiday?Mie niko full hapa...
Juzi kati nilikua nasoma article ya favourate things za Oprah, nikapata wazo (call it kukopi na kupaste if you like LOL) mimi favourate things zangu ni zipi?
Nimezilist hapa, kizuri kula na wenzio, kibaya... nazitumia kila mara, nazipeeeeeenda balaa!
Organics Shea Butter detangling hair lotion
NingejuajeJianghttp://www.blogger.com/profile/09430266404066393581noreply@blogger.com8tag:blogger.com,1999:blog-7245090286998354348.post-18960406469482222502013-01-06T16:31:00.000+03:002013-01-06T16:31:00.076+03:00Tufanyeje tukiwa na watoto wa design hii?
Aisee siku moja nilimtembelea rafiki yangu, tulikuwa wageni kama wanne hivi tofauti. Pia alitembelewa na ndugu yake mwingine akiwa na mwanae wa kiume mwenye umri kama miaka saba hivi.
Aisee yule mdau alikuwa mtata balaa. Alikuwa anaongea sana tena hovyo na matusi mdomoni bila kujali anaongea na nani. Wakati tuko kwenye pilikapilika za hapa na pale bahati mbaya mgeni mwingine tuliyekuwa Unknownnoreply@blogger.com5