
Mimi Aidan P. Kileo na mdogo wangu Mcute Malaika P. Kileo tunawatakia Heri ya mwaka mpya baba na mama Mr. & Mrs P. Kileo, Babu T., Bibi Bebby , Dada Miza, Hajra, Chuki, Dada Geraldina na wooote wanaotupenda, na watoto, Wazazi na wabibi na wababu woooooote, Duniani
Tunawapenda wote pamoja na mama na mtoto wa Blog hii.
2 comments:
jamani Aidani na Malaika mmependeza sana Asanteni kwa kutukumbuka wazazi woote wa duniani na sie tunawatakia mwaka mppya mwema na tunawapenda sana
Very good!
Post a Comment