Saturday, May 16
Ilhan Ashaanza Kuendesha Gari...
Huyu ni baby boy Ilhan ana miezi nane na ameshaanza kuendesha gari, ingewa bado haoni mbele. Dada yake ni yule kwenye picha za graduation, anaitwa Ilhaam, hii coordination ya majina ya watoto nimeipenda sana.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment