Sunday, March 21
Nani hajambeba mdogo wake???
Picha inanikumbusha enzi, kwa sisi first born tushawabeba sana wadogo zetu, hata wakibisha!
Ila hapa inanishangaza, aliyebeba katoa smile, aliyebebwa kanuna na ndita kazikunja!
(Picha hisani ya Dr Mo)
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment