Showing posts with label Bush. Show all posts
Showing posts with label Bush. Show all posts

Sunday, April 22

Mtoko wa Jumapili

...hya ni mapigo ya mtoko wa Jumapili chachi...Mdau wa Same ametoka mchicha na smart kichizi!!!
Jumapili njema.

Thursday, January 22

Mtoto Kwenye Mkutano wa Hadhara

Kitoto hiki nilikibamba kwenye mkutano flani wa hadhara huko Mbeya vijijini nikapenda kukisnap, ila sikujua kama huyo ni mama yake au bibi, as kijijini anything is posibo.

Wednesday, January 21

Bush Baby

Mtoto huyu ambaye sikuweza kupata jina lake as alikimbia akiwa amekula pozi, huko Mbeya vijijini.