Showing posts with label Pasaka. Show all posts
Showing posts with label Pasaka. Show all posts

Monday, April 5

Pasaka njema toka kwa Faraja na ndugu zake


Faraja na dnugu zao kina
christina wanapenda kutuma salamu za Pasaka kwa bibi yao Condrada
Sanga wa kibaha na wajomba zao Stephano, Lucas na Elias wote wa Kibaha
Mailimoja...

...bila kuwasahau watoto wote wa mama na mwana.

*****
Wadau tumewamiss sana, mmepotea siku hizi, tunataka picha tuone mlivyokua.

Sunday, April 4

Pasaka njema

Mama na Mwana inawatakia wadau wooote sikukuu njema ya Pasaka!
P.S. Picha za wadau wanavyosherehekea zinasubiriwa kwa hamu!

Friday, April 2

Pasaka njema toka kwa Elly

'cuuuuuuuuuuuuuuuuute'

Elvis Shoo aka Elly ni mtoto wa kwanza katika familia yetu, mama yangu anaitwa Suz na baba yangu anaitwa Fau wote wananipenda sana.. Napenda kuwatakia watoto wenzangu  Pasaka njema Mungu na awabariki..karibuni kwetu watoto wenzangu Pasaka tuje kucheza na kufurahi pamoja nimeandaa vitu vingi!. Asanteni.

Handsome Elly akiwakwenye pozi...

Salam za Pasaka toka kwa Mariam na Amour

Mdau, mcuuute Mariam toka Oslo, Norway anapenda kuwatakia watoto wooote Easter njema, pamoja na familia zao.


 Hapa akiwa mdogooo, na kaka yake anaitwa Amour...
...Naona baridiiii kali kweli kweli!

Sunday, April 12

Pasaka Ilifana Dar

Watoto wakicheza kwenye bembea.
Hapa ni Coco Beach, kama kawaida palifurika.
hapa ni Dar wadau huko kwingine tutumieni yaliyojiri kwenu.
*****
Picha Zote na Mroki Mroki aka Father Kidevu