Monday, January 12

Ugunduzi: Unazidi Kuwa Close na Wazazi Wako

Najua kila mtu anawapenda wazazi wake, na kuna wanaodhani wakipata mtoto hawatakuwa karibu sana na wazazi wao, ila jua kuwa ukipata mtoto ndio unawapenda zaidi, kuwathamini zaidi naunazidi kuwa karibu na wazazi wako.

1 comment:

Anonymous said...

mmh, hii topic kali, mimi ilibidi nichukue likizo ya dharura kwa wiki ili nitafute housegirl. kwa kweli ni janga la kitaifa, maana siku hizi kuwapata kasheshe, unatafuta hadi unachangwanyikiwa!