Monday, May 24

Happy birthday Hoka

Leo mdau Hoka Benet anatimiza miaka sita (6).
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Hoka maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: