Sunday, May 23

Asra, Abra na Naira wanawapa hi!

 Mdau Abra akiwa amepozi...

Mdogo wake Abra, anaitwa Asra...hawa wadau hawajaonekana siku nyingi sana...Mashallah, wamekua, hongera wazazi kwa kukuza.

Hapa Abra anatuletea mdau mpya ambaye ni cousin wao, anaitwa Naira...Karibu!

wadau wote watatu...baautiful!

Abra, Asra na Naira wanawasalimia wadau woooote, wanasema wanawapenda sana.

1 comment:

Anonymous said...

Afya njema kabisa.Habari mama X,mimi nina shida naomba ww na wadu wengine mnisaidie.Nina mtoto mwenye miezi mitano na mimi ni mwajiriwa.Sasa sijui ni maziwa gani mazuri ya kumpa mtoto muda ninapokuwa ofisini.naomba msaada wenu.