Tuesday, December 1

Siri

Kuna siri imejificha tarehe ya leo, atayeweza kuguess ni nini nampa zawadi mama, baba na mtoto/watoto (hata kama kumi, ili mradi ni wa huyo aliyetoa jibu sahihi).
Mwisho wa shindano ni wiki moja toka leo.
(Wafanyakazi wa TSN na marafiki zangu wa karibu hawaruhusiwi kushiriki)

14 comments:

Anonymous said...

Leo ni bday ya X

Anonymous said...

Leo ni bday ya X

Anonymous said...

Leo ni bday ya X

Anonymous said...

Leo ni siku yako ya kuzaliwa Jiang!Happy Birthday...Mdau Mama W'z

Anonymous said...

Leo ni siku yako ya kuzaliwa Jiang!Happy Birthday...Mdau Mama W'z

Anonymous said...

TAREHE 1 DEC OBAMA KUSHINDA URAISI!
ITS ME
ESTHER

Anonymous said...

TAREHE 1 DEC JIANG ALIFUNGA NDOA NA Sixtus. By makiromaro@yahoo.com

Elyc said...

Globu ya mama na mwana ndio ilianzishwa tarehe 1 dec by Elyc

Anonymous said...

Jibu lake nini sasa? Tuhabarishe na sisi kwani 1 Dec. ishapita.

Anonymous said...

siku ya ukimwi duniani

mama Collins said...

blog hii ilianzishwa

Lulu said...

Mi nahisi Mama na mwana ilizinduliwa rasmi maana kuanzishwa naona kama ilianzishwa November mwishoni

Anonymous said...

tarehe 1 dec ni bday yako jiang. happy birthday jiang! be blessed my dear!
mama collin & colman (arusha)

Anonymous said...

Bday yako jiag,2.siku ya ukimwi duniani 3.Obama alishinda urais 4.blog yako ilianzishwa 4.Ulifunga pingu za maisha