Thursday, December 3

Unywele wa Uwera

Mdau Mpya, anaitwa Uwera Getrude, mi napenda pozi zake, ni kama model wa ukweli.
Ila zaidi ya yote ni hizo nyweleee, ni ndefu na nzuri sana. Pamoja na kujaaliwa na Mwenyezi, nna uhakika matunzo ya kuzifanya zipendeze na kushine kiasi hicho ni kazi ya mama.
Hongera mam'tu, nywele za mdau zimekubali.

Hapa Uwera amezisokota mbele na kubana nyuma (toto style) na pozi zake zile zile za kimodo!
Apendezhaaaaa!

1 comment:

Anonymous said...

Mashaallah mtoto mzuri sana.
Mungu amuongezee Inshallah

disminder