Wednesday, November 25

Athkah na Aunt Lara...

Wadau Athkah, Shaymaa na MegLaila wakiwa na Aunt Reyna.

Athkah akideka kwa bibi, afu kafanana nae, au macho yangu?

Meg na mam'ke, Shangwe...mi nimependa rangi zenu, chocolate!

10 comments:

kibata said...

maneno yako kweli rangi halisi na adimu. hongera sana wadau wenzangu

Anonymous said...

Meglaila.
Ni mara ya mwanzo kusikia jina hilo.

Anonymous said...

mbona mama ni mdogo kiumri kuweza kuwa na mtoto mkubwa hivo, hongera

Anonymous said...

mh acha umbea awe mkubwa .mdogo huyo ni mtoto wake hv mkoje.mxxxx

dodo

Anonymous said...

Mdau mwenzangu tena afadhali hapa nimenenepa naonekana hata mkubwa.
Ungeniona mwaka jana usingekubali.
Huyo aunt Lara namzidi miaka 3, na aunt Reyna namzidi miaka 5.

hahahahahah kumbe Mungu kanijalia udongo mzuri.

shangwe.

Anonymous said...

Huyo Meg ni urefu tu namjua vizuri ana miaka 9, au 10 na yuko std 5.

chichi

Anonymous said...

Shangwe uko wapi jamani?!!! Nimefurahi sana kukuona kwenye blog. Bea wa Upanga

Anonymous said...

Wooow sister Bea!!
Nimefurahi sana kusikia salamu zako, nakuja Dar tarehe 8 tukijaliwa nitakutafuta.

Wasalimie wooote, Makey, Venture, B.Love, Beatrina.

miss you all. mwah mwah mwah

shangwe.

Anonymous said...

Miss u 2 mamiii yaani u still beauty hongera kwa kutunza rangi yako. mimi siko Dar my dear niko Sumbawanga kikazi nina miaka 4 sasa. Ukifika Dar mwambie Venture akupe namba yangu tuwasiliane. Love u

Anonymous said...

Shangwe Last time nilisikia kuwa unaishi Znz bado uko huko maana huwa nakuja mara nyingi huko. Ukifika Dar jitahidi uonane na Venture akupe namba yangu tuwasiliane.
Bea