Mdau mwenzangu tena afadhali hapa nimenenepa naonekana hata mkubwa. Ungeniona mwaka jana usingekubali. Huyo aunt Lara namzidi miaka 3, na aunt Reyna namzidi miaka 5.
Miss u 2 mamiii yaani u still beauty hongera kwa kutunza rangi yako. mimi siko Dar my dear niko Sumbawanga kikazi nina miaka 4 sasa. Ukifika Dar mwambie Venture akupe namba yangu tuwasiliane. Love u
Shangwe Last time nilisikia kuwa unaishi Znz bado uko huko maana huwa nakuja mara nyingi huko. Ukifika Dar jitahidi uonane na Venture akupe namba yangu tuwasiliane. Bea
10 comments:
maneno yako kweli rangi halisi na adimu. hongera sana wadau wenzangu
Meglaila.
Ni mara ya mwanzo kusikia jina hilo.
mbona mama ni mdogo kiumri kuweza kuwa na mtoto mkubwa hivo, hongera
mh acha umbea awe mkubwa .mdogo huyo ni mtoto wake hv mkoje.mxxxx
dodo
Mdau mwenzangu tena afadhali hapa nimenenepa naonekana hata mkubwa.
Ungeniona mwaka jana usingekubali.
Huyo aunt Lara namzidi miaka 3, na aunt Reyna namzidi miaka 5.
hahahahahah kumbe Mungu kanijalia udongo mzuri.
shangwe.
Huyo Meg ni urefu tu namjua vizuri ana miaka 9, au 10 na yuko std 5.
chichi
Shangwe uko wapi jamani?!!! Nimefurahi sana kukuona kwenye blog. Bea wa Upanga
Wooow sister Bea!!
Nimefurahi sana kusikia salamu zako, nakuja Dar tarehe 8 tukijaliwa nitakutafuta.
Wasalimie wooote, Makey, Venture, B.Love, Beatrina.
miss you all. mwah mwah mwah
shangwe.
Miss u 2 mamiii yaani u still beauty hongera kwa kutunza rangi yako. mimi siko Dar my dear niko Sumbawanga kikazi nina miaka 4 sasa. Ukifika Dar mwambie Venture akupe namba yangu tuwasiliane. Love u
Shangwe Last time nilisikia kuwa unaishi Znz bado uko huko maana huwa nakuja mara nyingi huko. Ukifika Dar jitahidi uonane na Venture akupe namba yangu tuwasiliane.
Bea
Post a Comment