Tuesday, November 24

Hoi, na X wangu


Hapa nilibambwa na Zeze wa 8020Fashions, nilishakua hoi na fujo za X.
X alikua ametoka kula, hii ni t-shit ya pili, ile ya kijani ni ya tatu, maana hii hakukaa nayo muda mrefu kabla hajaichafua.
Kanuna huyo maana anaona anabanwa, yeye anataka ashuke akaendelee na fujo zake...all in all, ali-enjoy sana.

5 comments:

Anonymous said...

Wonderful mother.
keep it up.

Smiles said...

Sasa unazidi kuona eeeh...the reason why I wont take him to ile lunch...
Maana fujo zake am sure tutarushiana ngumi!!

Anonymous said...

You look gud ma d. Keep it up, thus why waitwa mama X na si Jiang.

Anonymous said...

big up sana mama x uko juu na x ndo kabisaaa namwaminia.
from arusha-mama collin

Anonymous said...

ur boy is full of health jamani hizo fujo ni sign ya kuwa brave, u know what jiang mtoto mtundu ni intelligent mara nyingi so make peace na fujo zake hapo umepata asset ni malezi mazuri tu yanatakiwa he will make a good boy to man. congrats