Friday, August 24

Top ten ya harufu zinazoleta kichefuchefu


Kichefuchefu ndio inachukuliwa kuwa dalili kuu ya mimba… Wanawake wengi wanakipata wakati wa ujauzito, kina-range toka wale kina sie tunaochukia kitu kimoja tu to wale wambao kila harufu ya chakula, perfume, jasho, whatever, lazima wakatapike!

Kutapika ni issue hasa, ingawa si lazima, unaweza ukaniona nna bahati ila kiukweli sijawahi kutapika hata mara moja! Nawajua watu wanaotapika mwanzo mwisho, hadi wakiwa kwenye kitanda cha labour!

Anyway, siku nyingine, tutaelezana njia za kupunguza kichefuchefu cha mimba, for now kuna harufu top ten ambazo mama wajawepesi wengi wamesema, mmmh, zinawashinda…

Hizi ndio harufu kumi zinazowachefua wajawazito zaidi…

  1. Samaki samaki– Sio pale Mlimani City, ni harufu zozote za samaki, au seafood. Nadhani hizi huwa zinachukiwa na kuchefua kuliko zote!
  2. Nyama inayopikwa– Harufu ya nyama inayopikwa huwa inavutia siku zote hasa kwa wapenda nyama. Ila si kwa wajawazito, wengi inawatia kichefuchefu.
  3. Vinyesi vya wanyama– Uwe unaishi karibu na mtu anayefuga ng’ombe kwenye mitaa yetu ya kubanana afu ndio mimba yako imechukia hiyo harufu.Unaweza ukahama kwa muda! 
  4. Harufu ya jasho– Ukiwa si mjamzito tu harufu ya kikwapa haipendeki, sasa kwa mjamzito si inakua balaa. 
  5. Mdomo– Harufu mbaya ya mdomoni inakera sana hata kwa kawaida, sihitaji kuongeza inavyoweza kumchefua mjamzito.
  6. Perfume kali – Kama baba watoto ndio natumia muda huu inabidi abadilishe maana, sometym unaweza ukaichukia hata ile uliyomnunulia mwenyewe! Hapo pia kuna zile harufu za sabuni za kufulia, kuoshea vyombo, kusafishia chooni, tabu tupu!
  7. Sigara – Tangia hapo moshi wa sigara hautakiwi kuvutwa na mjamzito, ila unaweza pita sehemu mtu kavuta. Au unaingia kwenye lift na mtu aliyetoka kuvuta…
  8. Mtumba-  Ushawahi kwenda kufanya sagulasagula Ilala wakati mjamzito? Kama unaichukia hii harufu hata kukatiza mitaa hiyo hutaki!
  9. Harufu kali za vyakula– Hasa viungo kama kitunguu swaumu. Ukikichukia umekichukia haswa, na ukikipenda umekipenda haswa! 
  10. Chochote kile– Yap, chochote kile! Mimba kitu cha ajabu sana, unaweza ukaona mtu anadeka au anavituko, ila mimba ni balaa. So harufu yeyote ile inaweza ikachukiwa saa yeyote ile na mjamzito!


Ambaye bado hujapitia haya usishtuke sana, as mimba hazitabiriki, unaweza penda moja ya hizi harufu hapa hadi ukajishangaa...
Ambaye ushapitia, vipi, uakubaliana na list yangu? Harufu gani unazichukia zaidi ukiwa mjamzito…lets share, tiririka...

20 comments:

Mama V said...

Jamani mimi nilichukia harufu ya samaki na nyama pia sikuweza kwenda kununua nyama au samaki. Zaidi nilipenda kula maharage na juice ya ukwaju au juice ya ubuyu. Soda pia sikuweza kunywa nikiwa mjamzito kwa mtoto wangu wa pili.

Anonymous said...

Mimi ni mjamzito wa miezi minne sasa mtoto wangu wa pili huyu mungu akinijalia nachukia harufu ya kitunguu kikiwa kinakaangwa natapika hadi nyongo soda ya fanta, sitaki hata kuiona kwa mbali shombo ya samaki munguwangu hyo ndo kabisa perfum kali sitaki kikwapa hata changu mwenyewe natapika duh! najishangaa

Anonymous said...

Mimi nilichukia harufu ya vitunguu swaumu, nyama, wali. Nilikuwa napenda sana kula ugali wa dagaa/maziwa/boga za majani. Au ndizi mchemsho za samaki tena aina ya changu.

Anonymous said...

Duh yani mimi wakati nina mimba sikula chakula kilichokaangwa kwa vitunguu yani nilikuwa nikianza kuunga mboga natapikaje? mpaka ikabidi niache tu kula mboga yenye vitunguu. but mimba ilipokua hayo yote yakaisha.

Anonymous said...

mimi mtoto wngu wa kwanza nilipnda harufu ya kwapa ya mume wangu kupita kiasi, nikawa siwzi kulala bila kuwka pua zangu kwenye kwapa zake, lakini mtoto wa pili sikuchukia wala kupenda harufu yoyote

mama Glory said...

mimi mtoto wangu wa kwanza nilikuwa napnda sana harufu ya kwapa la mume wangu kupita kiasi ilifikia hatua bila kuwka pua zangu kwenye kwapa zke zipati usingizi, jamani kwli mimba ni ya ajabu, lakini miaka saba baadaye nikapata ujauzito wa pili nikamchukia mume wangu miezi yote mitatu ya mwanzo, baada ya hapo mambo yakaenda vizuri mpaka nikajifungua.

Anonymous said...

Mie nashukuru Mungu huwa sipati kichefuchefu kabisa. Nimeshapata watoto wawili na wala sijawahi tema mate..sometimes nilikuwa natamani niwe natapika mpaka naweka vidole kooni. Nimekula vyakula vyote bila kuchagua tena samaki ndio ilikuwa ndio chaguo la kwanza. Kwa kichefuchefu inategemea na kuongezeka kwa "hormones". Ambazo ndio husababisha kichefuchefu na kutapika.

Anonymous said...

Jamani mimi nilitapika miezi mitano ya mwanzo hadi nikahisi nitatapika roho.
Kituguu chochote, mume wangu akila chakula chenye vitunguu ahamie chumba kingine, harufu ya pombe, kwapa hata langu, mashuka kila siku kubadiri, sigara.

Nilipenda viazi vitamu vikaangwe au kuchemshwa na chumvi tu, malta ndo kinywaji changu kikubwa, ugali na nyama choma na matunda pori au vitu ambavyo mtu wa kawaida hawezi kula.

Anonymous said...

my dia mama x mm nilikua napenda kuku wa kienyeji tena supu yake basi tangu nipate hiyo mimba imekua balaa sipendi supu ya kuku wala kitunguu maji,

Anonymous said...

ETI NI KWELI KATIKA HIZO DALILI ZA KUCHUKIA AU KUPENDA VITU UNAWEZA KUDETERMINE UTAZAA MTOTO GANI? HEBU NIAMBIENI WADAU!!!

Anonymous said...

jamani mimi ni mjamzito,nakaribia mwezi wa 4 sasa,nilikua nakula mpaka napagawa,ila saivi napenda makande ya chumvi tu,nikila chakula kingine natapika mpaka naisi na roho inatoka.

Anonymous said...

Equal working day installing borrowing products will be a kind of payday cash loans available
on a calendar month period of time in urgent situation occasions.
These people don’t need the actual evidence of situations’ crisis,
or they might need surety, credit report or other stuff.
You'll arrange a vacation, various vital products and services or simply take care of your small business prices – Equivalent day sequel borrowing products will let you in any scenarios. Today most of these loans can be purchased on the internet.

my page - pożyczka bez bik

Anonymous said...

Equivalent time installing financial products will be a
sort of payday loans provided for one four weeks stage around sudden predicaments.

They don’t will need typically the evidence of situations’ sudden,
niether they desire surety, history of credit or other
things. Perhaps you may prepare if you want a, certain necessary
products or go over your home business expenditures – Identical working day installment borrowing products can assist you
in different cases. In these days all these financial loans
are accessible web based.

Also visit my weblog ... pożyczki bez bik

Anonymous said...

Similar day set up personal loans are generally a type of cash advance loans given for that four weeks period during urgent situation
circumstances. People don’t will need the evidence of situations’ disaster, regulations they need
surety, credit report none other things. You'll strategy if you want a, numerous very important expenses and also protect your organization payments – Same daytime installment fiscal loans will help you in a conditions. Today these kind of financial loans are available web based.

my website pożyczki pozabankowe

Anonymous said...

Equivalent evening sequel financial loans are generally a variety of payday advances delivered for any month
period during sudden cases. That they don’t demand a evidence of situations’ critical,
not they want surety, credit history not other things. Perhaps you may program
a vacation, some vital products or even just deal with your organization costs – Equivalent
working day fitting up borrowing products will allow you to in a occasions.
Now these types of lending products are accessible over the internet.


my website :: chwilówki

Anonymous said...

Exact afternoon fitting financial products are usually a make of pay day loans presented for the four week period period within urgent situation occasions.

Individuals don’t demand the proof of situations’ sudden, regulations needed surety, credit score nor other stuff.
You might program a vacation, various important expenses or
even just include your business obligations – Very same day payments lending options can assist you in a cases.
Currently these kind of loans can be purchased on line.

Visit my web-site :: kredyty chwilówki

Anonymous said...

Comparable day installation financial loans are actually a form of payday cash loans given for
one thirty day period length during disaster events.
Many don’t need to have this proof of situations’ critical, not they need surety, credit history none other stuff.

You may schedule a vacation, several critical
products and services or maybe deal with your internet
business payments – Exact same time of day sequel personal loans will let you in different instances.
Now all of these lending products can be obtained on
the web.

Also visit my blog post: kredyt bez bik

Anonymous said...

Equal time installing financial products happen to be a type of pay day loans made available in a month period in emergency
scenarios. These people don’t want the proof situations’
unexpected emergency, none they want surety, history of credit neither other things.

Perhaps you may prepare if you want a, a few
fundamental acquisitions or simply insure your corporation expenses – Comparable day set up lending options can assist you
in different situations. Currently these kinds of financial loans are accessible over the internet.


My web site; szybka pożyczka

Anonymous said...

Identical time of day set up fiscal loans are generally a variety
of cash loans given to get a calendar month timeframe in unexpected emergency cases.
Many don’t have to have this evidence of situations’ urgent situation, niether
they need surety, credit report neither other stuff.
You could arrange a holiday, a few vital buying or even
just insure your business charges – Equal evening fitting up borrowing products will let you in any occurrences.

At present all these lending options are presented on the web.


My website - kredyty bez bik

Anonymous said...

M nina mimba ya miezi miwili napenda supu ya kuku tu na sipendi kitunguu wala nyanya nikiona vtu vimekaa vibaya nakasirika sana na cpendi harufu ya sigara wala perfume yoyote. Mme wng napenda jasho lake pia