Sunday, December 9

Church unatokaje?

Hii picha niliipiga kama mwaka na nusu uliopita afu nikawa nimeisahau kabisa.
Huyu mdau nilikutana naye Moshi Jumapili fulani hivi, akiwa amependeza tayari kwa kwenda chachi.
Jumapili njema nyote.

No comments: