Wednesday, December 16

X anabeba nini kwenye back pack???

Front view...

...side view
*****
Wote tunajua X hasomi, as hajaanza shule, so humo hamna madaftari wala vitabu, pia kwa umri wake, hawezi kubeba vitu vizito, hasa ikizingatiwa kuna tunaotembea nae huwa tunalazimika kumbeba hapa na pale, so ukiweka vitu vizito unajiongezea mzigo mwenyewe.
Kwenye kila kisafari lazima abebe, na hiki kibegi anacho takribani muda wa miezi saba, na mwenyewe anajua akishabeba hicho safari...ole wako umbebesha afu uwe unashangaashangaa hapo hapo, anaanza kulia, so lazima muondoke.
So, wadau oteeni, humo X anabeba nini???

14 comments:

Lulu said...

Ngoja nizungumzie kwa uzoefu wa watoto wangu, humo unakuta tumeweka Juice yake, Wipes na sometimes toys na t-shirt ya kubadilisha just incase.

Hivyo nahisi humo ndani X anabeba juice na toys.

Thanks

Shally's Med Corner said...

kabeba chupa yake ya maziwa au juisi na biskuti

Anonymous said...

atakua kabeba kaptula nyingine ya kubadilishia

Anonymous said...

Mama X. Je una idea kama ni safe kumpa mtoto yoghurt mwenye umri wa mwaka na miezi 7.

Jiang said...

@ Mdau wa YOGHURT: nimeicheck sasa hivi, it is ok na unaweza kumpa badala ya maziwa sometimes.

Lulu said...

Yes, tena mimi nimekuwa nawapa watoto wangu yoghurt kila siku jioni kile kikopo cha serengeti Asas kama mlo mdogo wa jioni badala ya maziwa, naona wanaipenda sana. Thanks Jiang kwa kutuelimisha pia

Anonymous said...

hongera sn mama x, x anakuwa kweli kila wakati nikimcheki naona mabadiliko, big up sn mama x, na x namfagilia sn mapozi yake na uhandsome wake. sasa huko kwenye bag km kawaida yetu wamama tukitoka na watoto lazima kuwabebea chochote, humo utakuwa umembebea pampers, nguo zakubadili na juice/maziwa yake.
mama collin&colman arusha

Anonymous said...

hongera sn mama x, x anakuwa kweli kila wakati nikimcheki naona mabadiliko, big up sn mama x, na x namfagilia sn mapozi yake na uhandsome wake. sasa huko kwenye bag km kawaida yetu wamama tukitoka na watoto lazima kuwabebea chochote, humo utakuwa umembebea pampers, nguo zakubadili na juice/maziwa yake.
mama collin&colman arusha

Anonymous said...

X naona amebeba napkins na diapers.

mom said...

atakuwa amebeba juice au maziwa na pampers,amerefuka sana x.

Jiang said...

nilijua tu wazazi mtapatia...yap, X humo anabeba diapers kama tatu hivi, vitambaa vya kumfutia 2, t-shirt ya kubadilisha, na wipes.
Juice naonaga kama nzito afu inaweza kulowesha vingine, so vyakulavyakula kama kuna ulazima wa kubeba kazi ya mama hiyo, ila mara nyingi siku hizi habebi vyakula as kakua, anakula kila kitu...afu huwa tunahakikisha tunatoka nae ameshashiba, ili asile sana nje, as ni mtu wa vishughuli, akiwa nje anagoma kabisa kula anataka aendelee na mambo yake.

shamim a.k.a Zeze said...

Lol!!....wacha nami nikamnunulie Iqra wangu kibag cha baby gilr....coz since amezaliwa niligoma kununua lile begi lakubebea vitu vya mtoto na hv nabeba mapochi makubwa nadumbukizaga huko kila kitu chake

so akianza tembea au x kaanza beba na miaka muda gani???

Jiang said...

X alikipata alivyoanza kutembea, unaweza ukamnunulia now, ila kazi ya kukibeba itakuwa yako mama!
tena mi naonaga donge vya watoto wa kike unavikuta vya pink, vizuriiiii!
sipati picha Iqra atavyopendeza nacho...

shamim a.k.a Zeze said...

ah kukibeba mimi tena , mtihani niligoma nunua lile begi kupunguza mizigo nitamtunzia awe anakibeba mwenyeweee....lol i cant wait, ...walaa usijali mbona siku hz vipo vitu vya watoto wa kiume vingi...spider man nawengineo napendaa...