Friday, June 22

Cartoon ya wikend hii: Dora's Explorer Girls: Our First Concert


Huyu Dora, hata kama si muangaliaji cartoon m sure umeone vitu vyake; mabegi, nguo nk.
NI cartoon character maarufu sana, Xchyler ndio kamvumbua miezi ya hivi karibuni, basi kila kitu ni Dora. Mie shaangalia cartoon series zake, ni fupi fupi sana zinafaa I think watoto from 3-6. Inafundisha tabia nzuri, kuhesabu na inarudiarudia maneno so mtoto anashika na kuelewa.

Hii ni movi yake, I think it is good for pre-teens, as humu Dora kakua kidogo na anaenda kwenye concert ya Shakira, ila am sure haijapoteza maadili yake. So wadau wenye watoto wakubwa kidogo, tafuta movi hii muinjoy wikend. Wikend njema.

1 comment:

Anonymous said...

Kweli mama X hiyo cartoon ya Dora the Explorer nzuri sana na inafundisha, pia kuna cartoon ia Inspector Oso DSTV huwa na yenyewe Josh wangu anaipenda na inafundisha.Smtimes tunavizadharau vikatuni lakini vingine vinafundisha tehe!
Mama JJ