Sunday, December 6

Collin na Colman

Collin na mdogo wake Colman Francis wa Arusha...naona wadau wanazidi kufanana siku hadi siku.

3 comments:

Anonymous said...

big up collin na mdogo wako mko cuute sana nawafagilia na hilo pozi lenu la picha nimelipenda sana,sijui wazazi wa collin na colman wanajisikiaje wakiwacheki watoto wao! big up sana wazazi!!!!!!!!

Anonymous said...

Kula raha, huo ndiyo wakati wa kujidai

disminder

Anonymous said...

big up wazazi wa collin na colman watoto wenu niwacuute sanaaaaaaaa! hongera wazazi!