Sunday, December 6

Warren

Mdau mpya Warren S. (si unaona kadi hapo juu inaonyesha, wameweka na kiganja na unyayo wake...sijui nchi gani hii). Amezaliwa tarehe 10 Oct 2009, hapa alivyotoka kuzaliwa tu, soooo cuuuute!

Cuteee....

Mam'tu katoka bomba...na hiyo stroller imempendezaaa.


Cute, cute, cute.

3 comments:

Ester Ulaya said...

Jiang mpenzi nimevisit blog yako, kwakeli nimeipenda, keep it up, upo juu

Anonymous said...

jamani that babe ,he is so cute, wooh

Anonymous said...

Very cute

disminder