Saturday, December 8

Wadau wanalalaje?

...ukilala na mdau mara nyingi ni fujo mtindo mmoja...
check sleeping position hizoo hapo, afu jichagulie zenu.
Wikend njema.

2 comments:

Anonymous said...

dah hii hatari,ndo mana napenda walaza vitanda vyao only wanaponyonya tu then warudi vitanda vyao
wengine usingizi adi tuufanyie maombi ya kubembeleza ndo unapata yani balaa

irene love said...

Hahahahah.... Duh! Nilikuwa sijaiona hii! Mbona balaa....