Friday, December 4

Amin akila good time na baba

Mdau Amin Riziky Danga (1.5yrs) wa Berlin, akifurahiii na baba yake Riziky Danga.

Hapa sijui wanaonyeshana nini, naona wako biiiize...sijui mdau anaelewa kiasi gani kwenye mambo anayofanya baba hapo...

Relaxing...!

3 comments:

Anonymous said...

ndiyo wakati wenyewe wa kujidai.
Hongera bro; keep it up.

disminder

Elyc said...

What a nice pic!!!!!!!

Anonymous said...

mkweeee!!!!mmependeza nyinyi!!!!