Tuesday, October 20

Proud Dady

Wadau Audery, Christian na Faraja wakiwa na baba yao.
Huyu mzungo katotoa knock out wabongo, maana kafanana nao wote watatu, katuachia rangi na nywele kwa mbaaaaali.

22 comments:

Anonymous said...

Lovely kids!

Anonymous said...

Anasitazia tumekuchoka na picha zako fungua blog yako sasa hata sisi tuko denmark na tuna watoto pia,kuwaanika kila siku ndio nini

Anonymous said...

Cute kids!!!!
Wewe hapo juu uliyechoka nani kasema usome au uangalie??? Big up mama wenye watoto watoto nusu mzungu nusu swahili ni mali sana big up!! Lete pichaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Anonymous said...

Annony hapo juu acha ushamba, kwani we umekatazwa kutoa watoto wako, loh, wivu tu umekujaa...upo denmark unabeba mabox, mwenzio Anna anamaisha bomba, good hubby, good kids, u wish u were her...u can never even be half of her...keep on hating, HATTER!

Anonymous said...

me mtu vipi, kwani we umekatazwa kutuma hizo picha za wanao? au vibwengo???? watoe tuwaone, mwenzio Anna watoto wazuri wanavutia, ndio maana wanawekwa kwenye blog, we wako hata ukimtumia mama X hawatoi, maana wabaya!! mtu mwenye roho mbaya kama wewe huwezi kuwa mzuri, na watoto wanarithi sura na roho yako mbaya!!

Anonymous said...

kwani we annony una tatizo gani, sisi wenzio tunapenda kuwaona kina Christian kila siku, kama we hupendi si uondoke, kwani umelazimishwa? Jiang tuwekee picha zingine za kina Christian hatujatosheka, weka asubuhi mchana jioni, kila siku, asiyependa ajinyonge! au azae wake tuwaone!

Anonymous said...

sasa jamani wivu wa nini? watoto kabarikiwa na Mungu hao, kama na wewe una wako, tuma kwa Jiang akutolee, sasa we hutumi, wa wenzio hupendi kuwaona, watu wengine mna matatizo, aya unataka tuwekewe nini sasa?

Anonymous said...

watoto wako cute sijapata ona, kila picha yao iko bomba...hongera mama yao kwa kubarikiwa. dream yangu ni twins, nikipata wazuri kama hawa sitataka kingine duniani bali uzima wao tu!

Mama Farida said...

Mmbarikiwe sana wakina mama wote wa humu ndani, Asante sana Mama X kwa kazi Nzuri sana zidi kutuwekea picha za taifa letu la kesho, za wanangu zipo njiani, Mwenye wivu ajinyonge kwi kwi kwi

Anonymous said...

wenye wivu wajinyonge
mdau denmark

Anonymous said...

Haaaaaaaaaaaaa,waosha vinywa ni wengi humu kama kwa michuzi, denmark hakuna kubeba mabox ndio ile nasoma hapa sijawahi kusikia.
mdau finland

Anonymous said...

picha zangu mbona hamzitoi jamaniiiiiiiiiii

Anonymous said...

malumbano ya nini kama mtu kaandika ni wenndawazimu wake, mangapi yanandikwa kwa michuzi na watu wanadunda tu

Anonymous said...

malumbano ya nini kama mtu kaandika ni wenndawazimu wake, mangapi yanandikwa kwa michuzi na watu wanadunda tu

Anonymous said...

masuper staa hao
mdau norway

Anonymous said...

natamani na mimi twins jamani mungu anijalie, nitafurahi maana sina mtoto ila natumaini kujaliwa hivi karibuni ndio kwanza nimeolewa huku bongo

Anonymous said...

mdau wa saa8:33, mtu kuandika comment yake sio umwambie aondoke niko hapa denmark miaka 20 nina watoto wanne mkubwa ana miaka 18,na wa mwisho ana miaka 9, niondoke utawalea watoto wangu? hayo ni maoni nilitoa mara ngapi tunasoma maoni kama hayo,ondoka wewe rudi ulikotokaa

Anonymous said...

weka comment muhimu hizo za malumbano usizipost dear mwenye blog, ok? watu kusema ni kawaida sana wacheni hasira mangapi yanasemwa hapa duniani?

Anonymous said...

Jamani peace hii blog tunatembelea kwa hiari na kama hujapenda kitu kiache wenzio wanapenda. mama X hongera kwa kazi nzuri watoto ni malaika kama unachuki na mama yao na mko wote denmark face her sio kucomment ujinga siamini kama mama mwenye mtoto wa 18 yrs anaweza kuandica shit kama hiyo je unawafundisha nini watoto wako? i doubt kama wewe ni mama mwenye busara. Umebore sana just come into peace with others happiness and success ili nawe ufanikiwe inaelekea ur not happy in ur life hata kama una watoto kumi. Uondoke ina maana humu kwa hii blog angalia hizo zingine aisizokufanya ubleed inside roho mbaya tu.

Anonymous said...

he jamani huyo aliesema tumemchoka anastazia ni yeye na nani? mbona anainclude watu kwanza nadhani ni illiterate ona hata alivyoandika "anasitazia" inatosha tusipoteze muda na punguani jamani she is a looser. see eti anasema aondoke nani atawalea watoto wake she is mad nani alimtuma azae watoto 4 bila shule na kazi ya maana na mume responsible? maybe anabeba box she is frustrated kutunza hao watoto. si awapeleke watoto kijijini kwao wamlelee? anang'ang'ania ulaya huku ankufa na kijiba cha roho. Bibi hasira zako za kulost usimalizie watu wenye maisha yao. Pls anna just ignore her send us more pics of our cute angels. Hayo makinda yake ya miaka 18 we're also not interested. Nakupenda Jiang ur creative this blog ipo juu sana. tunakupata dunia nzima endeleza kazi nzuri na hawa wanaotaka kuharibu tusiwape nafasi let us shout them off cz if ur rude to pple dont expect them kuwa wastaarabu kwako. kaniudhi nahamu nimtandike kibao sijui wa wapi huyu tena hana aibu kusema amekaa miaka 20 cz haijamsadia as hajastaarabika arudi kwao.

Anonymous said...

yaani kuna watu duniani wanaroho za kichawi ,kuwaanika ndio kitu gani,we mdau wa pili naona ulisahau kunywa vidonge vyako

Anonymous said...

Guys you shouldn't critisize each that much. Don't leave comments that will annoy other readers.