Tuesday, May 15

Feza's Mother's Day celebration

 Wamama wa watoto wanaosoma  Feza Nursery School tulialikwa Jumamosi iliyopita kwenye sherehe ya Mother's Day ambayo waalimu walituandalia.
Tulikaribishwa na mkuu wa Feza Nursery School. Ms Bushra...

...wamama tulikua wengi wa kutosha... 

 KGI, kina Xchyler, ndo walianza kwa kutuimbia...very touching song about mama...

...hapa wanasema I love you... 
Hawa ni KG III...nalifanya kama poem about mama...hapa wanasema, whatever I give you, you give it back much much more...sikumbuki maneno yote, ila maana ni kama hiyo...pia ilikua bomba sana! 

...wamama pia tulishiriki kwenye activity iliyoandaliwa kwa ajili yetu ...yalikua ni maswali unajibu au unafanya kilichopo kwenye karatasi....

...na mie nilishiriki, nikajipatia zawadiii... 


...waliimba nyimbo za kila aina...hii ya kituruki...

...niliipenda hii...KG III hawa... 

...wadau wengine walianza kudozi...

...hapa KG II wakicheza ngoma ya kihaya... 

...bibi na Xyleen walikuwepo kumuona biggie akiimba....


...beautiful wadaus... 


...asanteni saaaaana Feza Nursery School (Dar) teachers for preparing this event for us...it was so much fun, thanks for the touching songs to appreciate our motherhood, and thanks for teaching our children to show that they love us. Aksanteni sana.

5 comments:

Emma said...

Ilipendeza sana hakuna kama MAMA.Ni mimi mama Evarist.

Emma said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Anonymous said...

habari dada naomba contact zao jamani nataka kumpeleka mwanangu nursery asante sana

Jiang said...

sina namba ya shule hapa, ila ni vizuri zaidi ukaenda kuongea nao in person...ila pia wameshafunga usajili wa wanafunzi wapya, interview wameshafanya...but jaribu, you never kno. Wapo Old Bagamoyo road, upande wa kulia ukiwa unatokea kwa Nyerere...hata hamna kitu cha kukuelekezea cha karibu...ntakupa namba nikifika home...