Tuesday, May 15

Happy birthday Glory


Mdau Glory, binti wa Jacqueline Moshi, ametimiza miaka minne (4) leo.
Mama na Mwana inamtakia kheri katika siku yake ya kuzaliwa, Mungu amwongoze maishani! 

1 comment:

Anonymous said...

Kila laheri Baby Mungu azidi kukupigania na kukulinda huku akikuongoza katika njia salama hata kwenye masomo yako akupiganie pia..Hongera kwa siku ya kuzaliwa