Wednesday, October 21

Arsenal oyeeee!

Noah & David Manata (hata sijui yupi ndio yupi) wanashangilia ushindi wa Arsenal jana. Ba'mtu, Gitte Manata, kawaranda kushabikia Arsenal!

6 comments:

Anonymous said...

super watoto so cute loveeeeee
hongera mama na baba, very cute hakuna mpinzani

Anonymous said...

ha ha!cute babies..

Anonymous said...

duh! hawa watoto nimewapenda sn, yani wako bize wanatabasamu vizuri, nawapa big up wazazi wao!

Anonymous said...

jamani napenda twins i wish these cute boyss were mine.all the best boys.

Anonymous said...

cute boys full of life and smile

Anonymous said...

watoto wazuri hakuna mfanooooo