Tuesday, August 24

Candy amepata angel wings!

 Candy Wilson Maula wa Arusha anawapa hi wadau wote bila kumsahau best yake X anamwambia karibu kwenye Birthday yake  na asante kwa maagizo ya Angel wing amepata.

Asante kwa mwaliko, tunasubiri kuona hizo Angel wings zilivyokupendeza!

3 comments:

Anonymous said...

Mambo Jiang pamoja na watu wote mnaotembelea blog hii, naombeni mnisaidie ivi ni wakati gani mtoto anatakiwa kuanzishiwa vyakula (solids) i mean awe na umri gani, na anaanzishiwaje (menu yake per day), vile vile nimesikia kuna vyakula vina weza sababisha constipation ni vipi ivyo? na nifanyaje akiipata
Then mnaweza japo kidogo kuniorotheshea vyakula vya nafaka nitakavyoweza kuwa namtengenezea.
Samahanini kwa maswali mengi jamani nimekwama mwenzenu.

Anonymous said...

hallo mama X !pole na majukumu..sasa jamani na mimi nilikua naomba msaada wa wapi naweza kupata angel wings tafadhali!nitafurahi kupata msaada huu plizzzzzzzzzzzzzzzzzz

Jiang said...

Mdau wa kuhusu solid foods, tafadhali click kwenye link hii, maana tulishalijadili suala hili sana hapa, naamini itakusaidia!
http://mamanamwana.blogspot.com/search/label/Lishe

kuhusu angel wings, mimi niliziona duka linaloitwa toto Junction, liko maeneo ya posta ya zamani,ila kuna wadau wengine walisema wameziona Game/Shoprite, kumojawapo, am not sure ni wapi.