Thursday, April 12

David & Noah wanamodel Denmark


Mnawakumbuka wadau hawa pacha wa-cuuute wa kaka yetu, Frank Manata wa huko Denimark. Wamekua wakaka sasa, wana miaka mitatu na hawataki kuchelewa washaanza kuzi-make..

...cuteness pays....Yap, kwa kutumia u-cute wamepata kazi ya kumodel nguo za Danish brand inayoitwa KOOLS Jeans... wana jeans kali kama mnavyowaona wadau walivyopendeza.


 Kwa kweli huwa sijui yupi ni yupi...ila ni David & Noah.

Picha zaidi BOFYA HAPANo comments: