Dalvis akisimama kwa kushikilia kitanda.
Xchyler alipokuwa anajifunza kusimama alipokuwa na umri wa miezi mitano.
Watoto wengi huwa wanaweza kusimama kwa kushikilia kitu wakiwa kati ya umri wa miezi sita hadi miezi tisa. Ila kumbuka kuna wanaoanza mapema, au baadae sana. Usiwe na shaka mwanao akichelewa as long as hana matatizo mengine kiafya na Dk Massawe amekuthibitishia kuwa yuko ok, dont wory atasimama soon.
No comments:
Post a Comment