Mtoto Golden akimpa shavu Mama yake siku alipo-graduate degree yake ya Electrical Engineering pale UDSM tarehe 6.12.2008. Hii naiita two in one, na akina mama kama hawa ndio nawaita 'Supa Mama' anapata mtoto na degree ndani ya mwaka mmoja, atake nini kingine?
5 comments:
this is sweet, im also a SUPA mama ndani ya mwaka huu nimepata mtoto july 30, nika graduate september 12. yani tunaita TIT for TAT...much love all my supa mamas.
mama P
Congratulations dear one!Ni kweli kabisa,it requires God's love,protection and extra power to manage both!hata mimi ni super mama mtarajiwa,kwa sasa nipo nje ya Tz nasoma degree yangu ya pili na ntagraduate september 2009 and at the same nategemea kuwa mama june 2009,God willing..It will be a BIG SUPRISE wakati wa kurudi bongo!
To future super mamas.. let us kp moving na tusikate tamaa kamwe coz tumepata bahati ya pekee...
Hongera mama na mwana kwa kuanzisha Blog,it is a step foward!Keep it up...
oh my dear hongera sana na wewe pia..Mungu atakujalia utapata ka baby salama, mwenzie wil be almost 1 year. God bless u sana super mama.
mama P
mimi pia ni supa mama nilimaliza degree yangu ya kwanza september 2008 na nikapata mtoto november 2008 mumgu amenijalia sana.
jamani mtoto handsome huyo mmh, very cute
Post a Comment