Saturday, December 13

Pacha - Joseph & Josephina


Pacha wa kike na wa kiume, Joseph na Josephina Mkumbi. Jamani natafuta picha za mapacha, 'sijui wanaitwa mapacha wakizidi wawili?' watatu au zaidi. maana hao ni haba.

1 comment:

Stella Nyemenohi said...

Joseph na Josephine ni watoto wa dadangu; namshukuru Mungu na mimi nimewapata Martin na Martina waliozaliwa Oktoba 27, 2010. Picha za wadau nitakupatia soon. Brian anawapenda sana wadogo zake.