Mimi ni Kelvin Oscar Pongo wa Tabata Kisukuru Dar es Salaam Tanzania, nawatumia salamu za krismas baba na mama Kelvin, bibi na babu ( Mr & Mrs Pongo) wa kigamboni na bibi Modestar Livigha wa sinza na babu Timothy Lugome wa Ukonga. Mama yangu mdogo Esther Lugome wa St. Augustine University Mwanza bila kumsahau dada yangu mpendwa Fedelina O.Pongo. Nawapenda sana na Mungu awabariki nakuwalinda.Asante Aunt kwakuazisha blog hii maana watoto pia tunaaki yakushirikishwa.
No comments:
Post a Comment