Mimi ni Louis Lusajo Mwamgiga wa Albuquerque, New Mexico (USA) ila wa Mwakaleli, Tukuyu original.
Nawatumia salamu za Krismas babu na bibi (Mr nad Mrs Mrutu) wa Chang'ombe, bibi wa Tegeta (Mrs E. Mwamgiga), shangazi zangu na wajomba zangu wote bila kumsahau kaka yangu Lameck. Nawapenda wote, Mbarikiwe.
Asante Aunt Jiang kwa blog hii ya mama na mwana.
Keep it up.

No comments:
Post a Comment