Napenda kutoa shukurani kwa Anko Michu (DC wa Nanihii - Anko wangu mtu Mkubwa) kwa kunipa shavu kwenye glob ya jamii, http://www.issamichuzi.blogspot.com/ last wiki ya wiki iliyopita nami nikapata kuonekana na uchanga wangu kwenye glob. Shavu hilo limeniongezea ukubwa wa familia ya glob yangu.
Thanx Anko!
1 comment:
Hahahaaaa!
Thanx kwa thanx za wiki last wiki. Nimependa tabasamu lako, ila punguza utundu
Post a Comment