Monday, May 4

Happy Birthday Mina


Leo mdau Amina anatimiza mwaka mmoja.
Wadau woote tunamtakia birthday njema.
Anawasalimia shangazi Halina na shangazi Sharafe ndugu na jamaa woote na watoto woote wa Tanzania

3 comments:

Anonymous said...

huyu mtoto mzuri jamani mbona mmemvalisha nguo oversize au ndo kama wakati wetu ule wa urafiki na mwatex mtoto unavalishwa nguo ukue nazo ha ha ha haaaaaaa. jamani siku hizi haki za watoto

Anonymous said...

sasa ndo unataka kutuonyesha nini mnaishi kwenye nyumba babkubwa au vipi maana hiyo pica imepandikizwa kwenye nyumba ya mchoro

Anonymous said...

unayesema nguo oversize inaelekea huna mtoto, ukishapata mtoto ndio utajua!
na wewe wa pili acha kashfa, kila mtu hapa anajua kuwa hiyo ni background, nia ni kupendezesha picha na si vinginevyo.