Monday, June 1

Happy Belated Birthday Vicent

Handsome boy Vicent Kusekwa ametimiza miaka mitatu tarehe 26 mwezi May.
Mama-mtu, Lulu Kilonzo anamtakia maisha mema, furaha na afya tele, "Nikimwomba Mungu amuongoze katika maisha yake yote."
Na wadau tunamtakia maisha marefu, na tunasubiri picha za party kwa hamu.

7 comments:

Anonymous said...

Happy birthday Vicent, mimi hilo pozi lako tu limeniacha hoi but u r real handsome boy

Anonymous said...

happy birthday baby boy!!!!

Anonymous said...

happy birthday.Lulu dear niliona humu picha yako na mwanao,hongera sana(though long overdue)how is Irene? loong time guys.Mie niko UK.I once saw Juliana Mapunda.Jamani nakumbuka Msalato esp Chidosa...much love Rehema

Lulu said...

OMG!!!!!!!!!!!!

Rehema please let us communicate.

write to me at lulukilonzo@yahoo.com

Heeeheeee Unacheka kama nyerere!!!!

Anonymous said...

Jamani Lulu hongera kwa mtoto mzuri. Mbukwenyi? Hivi Nuru Ambali yuko wapi?

Anonymous said...

Nuru yuko states...we nani

Lulu said...

Mweeeee Nimegundua humu kuna watu kama Zena Mwenge maana hiyo salamu imenikumbusha mbali sana jamani!!!

Nuru yupo state, Juliana yupo UK

Nawapenda wote!!!

Jamani tuwasiliane!!!