Wednesday, July 1

Alcuin Kakua Jamani...Anakaa sasa

Kidole kama kawaida...Alcuin (6 months) akiwa anakula pozi lake jipya la kukaa.
Mama mtu, Frida Waane, anasema ana furaha sana kwa kuwa Mungu amemjaalia kakuza maana pamoja na kukaa Alcuin ana kajino kamoja sasa.

2 comments:

Anonymous said...

Kwa kweli amekuwa mkaka wa kukata na shoka, hongera kwa Frida na aendelee kumtunza vyema na malezi bora mpaka awe Kikwete wa miaka ijayo. Mama Mkubwa

Anonymous said...

Yaani kama utani juzi alikuwa kababy leo amekuwa mkaka wa nguvu (baba), Mungu aendelee kumkuza Alcuin wetu na azidi kumpa aya njema.

Mama Mkubwa (Zulu)