Friday, August 28

Happy Birthday Shemsa

Leo ni birthday ya beautiful Shemsa Murshid Kachwamba. Anatimiza miaka miwili.
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele. Mwezi wa toba huu, so keki hadi jioni.

No comments: