Huyu ni Audery Felbo, yule pacha wa kike, ona mtoto alivyojikata, afya njema ni matunzo tu si kingine.
Afu check hiyo smile yake, furaha ya mtoto ni malezi tu.
Annastacia, Mungu akubariki ukuze watoto wako wazidi kuwa na afya njema na kupendeza kila kukicha.
Kuna wanaosema sana eti nampendelea Annastacia kwa kuweka picha za malaika wake kila kukicha, ila najua mnaopenda kuwaona kama mimi ni wengi zaidi, coz si utani hawa watoto wanavutia....tusubiri picha za ubatizo.
Na unayesema nampendelea Anna, na wewe tuma picha za mwanao ntaziweka, usipotuma, ntaendelea kuweka nnazopata, usione napendelea maana siwezi weka picha ambazo sina.

No comments:
Post a Comment