Wow beautiful indeed. Good job mama X kwa kutuhabarisha and keep us posted na matukio muhimu kama haya. I do admire them cute kids nafuatilia sana this blog nafurahi kuona toka wakiwa wadogo hadi sasa wanabatizwa we hope to see more pics. Pls Anna mtumie mama X more and more watoto wako hawaishi hamu kuwaona. Jiang pls post us na pics za X yani ile picha yake za mbinga nazipenda sana hasa ile ya kiazi kibichi na ile ya kuchezea mbwa akidhani toy. I like to see ur boy again.
4 comments:
hayaaaaaaaaaaaaaa
mambo hayoooooooo,full kijiachia wamependeza ila picha zina giza hatuoni vizuri,but very nice picha za party je?
Wow beautiful indeed. Good job mama X kwa kutuhabarisha and keep us posted na matukio muhimu kama haya. I do admire them cute kids nafuatilia sana this blog nafurahi kuona toka wakiwa wadogo hadi sasa wanabatizwa we hope to see more pics. Pls Anna mtumie mama X more and more watoto wako hawaishi hamu kuwaona. Jiang pls post us na pics za X yani ile picha yake za mbinga nazipenda sana hasa ile ya kiazi kibichi na ile ya kuchezea mbwa akidhani toy. I like to see ur boy again.
Simply gorgeous. Bless them. I love the background, the outfits, little angels.
waoo inapendezaa.
Post a Comment