Leo ni bitrhday ya ndau Henry George, ambapo anatimiza miaka miwili (2).
Salam za kumtakia kheri zimetoka kwa mama yake baba yake bibi na babu.tunamtakia maisha mema na marefu na mungu ambariki na kumlinda.
Leo pia amezaliwa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete anatimiza miaka 59. Pia ni birthday ya aliyekuwa raisi wa Urusi Vadin Putin na mwanamziki maarufu wa Marekani Toni Braxton.
Mama na Mwana inamtakia mdau maisha marefu yenye kheri na fanaka tele.

No comments:
Post a Comment