Leo ni siku ya kuzaliwa mdau Junior Beneke, ingawa sijajua anatimiza miaka mingapi.
Salam za pongezi toka kwa mama,Mwanamkasi Jumbe na baba Juma Bukene,tunakutakia maisha mema na marefu sana.
Mama na Mwana inamtakia maisha yenye kheri na fanaka tele.
Mama na Mwana inamtakia maisha yenye kheri na fanaka tele.
No comments:
Post a Comment