Karibu Ethan

Huyu anaitwa Ethan Silas Mwak, ana miezi saba (amezaliwa 21/5/09).Ni cousin aka binamu wa Vicent & Vallencia Kusekwa.
Wazazi wake (Baba) Silas Mwaka na (Mama) Upendo Msanjila Mwaka wanampenda sana.
Naye aunt yake aliyenitumia picha, Lulu Kilonzo anamtakia afya njema na maisha marefu.
No comments:
Post a Comment