Mi nimependa hiyo suruali ya Sabra jamani, ni kali sana,afu imemtoa...na kile kibegi kidogo nisaha kukitaja, nacho kikali!
Sipati picha mam'tu ukiwa kwenye kuchagua vitu vya mrembo unavyokua bize...
Sipati picha mam'tu ukiwa kwenye kuchagua vitu vya mrembo unavyokua bize...
1 comment:
kama ulikuepo mam X, na hivi ndo yuko pekee yake kila akitoka job,mam yake anajitahidi kumpelekea kigift, yeye mwenyewe sasa anavyopenda mapigo we acha tu.
thanks for the sweet coment.
Aunt yake Sabra.
Post a Comment