oh boy....nimempenda kweli huyu mtoto! What a lovely smile he has! Very cute and adorable!!! Anamika mingapi?
huyu mtoto mbona kafanana na gadner g habash jamani mzee wa jahazi kesi iyo.
we ushindwe hapo juu, huyu ni mtoto wa dada yangu tena kafunga ndoa kanisani wala hajaiba wa m2 wala kumwendea mwanaume kwa mganga ili aolewea.unamjua baba yake hd unasema hv? huo ni uchonganishi, haachwi m2 hapa.
samahani jamani, kuingilia mada, haijalishi ndoa ya kanisani, bomani, wala msikitini, hapa tunauliza kutaka kujuwa tu!HUYU MTOTO MBONA KAFANANA NA GARDINER HABASH??? JAMANI, HIVI KAMUONA?
Post a Comment
4 comments:
oh boy....nimempenda kweli huyu mtoto! What a lovely smile he has! Very cute and adorable!!! Anamika mingapi?
huyu mtoto mbona kafanana na gadner g habash jamani mzee wa jahazi kesi iyo.
we ushindwe hapo juu, huyu ni mtoto wa dada yangu tena kafunga ndoa kanisani wala hajaiba wa m2 wala kumwendea mwanaume kwa mganga ili aolewea.
unamjua baba yake hd unasema hv? huo ni uchonganishi, haachwi m2 hapa.
samahani jamani, kuingilia mada, haijalishi ndoa ya kanisani, bomani, wala msikitini, hapa tunauliza kutaka kujuwa tu!
HUYU MTOTO MBONA KAFANANA NA GARDINER HABASH??? JAMANI, HIVI KAMUONA?
Post a Comment