
Mdau akilishwa keki na bibi aliyeandaa sherehe hiyo, Bibi Ineza (jina la kati la Harieth ni la bibi), mi naona hata sura wanafanana, ingawa bibi hajatokea sana...

...pia kutokana ka utundu wake hamna picha ya birthday girl akilisha mtu keki, kila akipewa kipande amlishe mtu, alidumbukiza mdomoni kwake, watu wakaona itaisha bure, wakaamua kumlisha afu kila mtu ajilishe mwenyewe!
...by the way, Kigoma bila mighebuka???
2 comments:
Hongera Bibi umezaa na hongera Regina kwa kukuza.
disminder
ha haaa haaa eti NAJUTA jamani kama nikaskie vile kakitamka hilo neno...so cute.happy birthday.
Post a Comment