*****
Kwa mpango wa bembea (niseme tu kiwanja kizuri sana, kazi kwenu wadau wa Rock City), inabidi tu muwe mnampeleka mapema, ili achezeeeee, hadi achoke, akinai!
Kama akitaka kucheza na wenzie, maana yake keshakua huyo, anataka mdogo wake wa kucheza nae...fanyeni kweli!
4 comments:
HAO JAMAA WAMEOANA NAWAKUMBUKA SANA TULIKUWA NAO IDM MZUMBE,SAMORA ALIKUWA BISHOO SANA HONGERENI KWA KUPATA MTOTO
hapo kilitakiwa kiboko tu!ha ha jamani malezi ya kisasa daaah..mwaya ujanja tu unahitajika hapo........
Samora mwache mtoto apate raho wewe mtu mwenyewe wa starehe na umempa mtoto jina lako unategemea nini, anafauta nyao huyo...lily uk
jamaniUpendooooo..long time..nimefurahi nimeona picha ya mtoto na hubby..kakuwa kweli, u still look beatiful as always...Olympio st no3(Bima)u knw who?
Post a Comment