Mdau anaitwa Alan George Rogath. anaishi Ubungo External yeye ni first born katika familia ya bwana George Rogath na bi. TunuGrace Rogath. mtoto huyu anapenda sana kucheza na usimpompeleka kucheza atalia huyo . hapa alikuwa slipway na rafiki yake anaitwa Jimrevees.
3 comments:
utoto raha jamani.
disminder.
like mother like son,u've got a lovely kid,he jus like u 2nu.
Sorry! I beg 2 differ, the kid looks like his father, he is surely a chip of the old block! ukisema like mother like son or mama na mwana naona haijakaa kiviiilee!
Post a Comment