Alifanyiwa sherehe ya birthday nyumbani kwa mama yake mdogo anayeitwa Irene Mzigura ambaye anaelezea kuwa, "Siku ya B.day Brain alishikwa na hasira sana baada ya kuona
watoto wenzake wanamshangilia ilipofika muda wa kuwalisha keki alilia
sana akawa hataki kumlisha yeyote keki yake alikula mwenyewe na mama
yake. Ila tunamshukuru Mungu ni utoto tu. Na kofia ya b.day akiikataa
kata kata kuvalishwa hiyo picha kuna mtu alishikilia kwa juu juu tu
ili tupate ukumbusho"

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tumtakia Michelle maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.
No comments:
Post a Comment